Company History

Climate Air Limited Company was incorporated in 2015 with certificate of incorporation number 26143; Founded by Gwilla Nkurlu (Owner & The Managing Director); Sungi Temba (Owner & Chairperson of the Board). They became business partners in 2016 with a shared belief that they could better serve the customers with their higher degree of customer service and customer satisfaction. With their veteran and highly trained staffs with strong management team compromising of people with relevant highly management skills and technical experience.

Historia ya Kampuni

Kampuni ya Climate Air Limited ilisajiliwa mwaka 2015 ikiwa na leseni ya biashara namba 26143; Ilianzishwa na Gwilla Nkurlu (Mmiliki & Mkurugenzi Mkuu Mtendaji); Sungi Temba (Mmiliki & Mwenyekiti wa Bodi). Pamoja wamekuwa washirika wa kibiashara toka mwaka 2015 na wakiwa na imani ya pamoja kuwa wanaweza kuwatumikia wateja wetu kwa ubora na kutoa huduma ya kiwango cha juu kwao. Pamoja na wafanyakazi wetu wenye ujuzi, ustadi wa muda mrefu na wenye mafunzo ya juu ya usimamizi mkubwa wa kiufundi.