Lounge Air Conditioning

We advise on our customers when selecting and buying the Air conditioning unit to examine the space and design of the Lounge.

For proper installation of the unit, size and the capacity (HP) of Air conditioning to be installed must be considered.

Viyoyozi Vya Sebuleni

Tunawashauri wateja wetu wakati wa kuchagua na kununua kiyoyozi, kuchunguza nafasi na dizaini ya sebule.

Kwa ufungaji bora wa kiyoyozi, ukubwa na uwezo (NGUVU) ya kiyoyozi ni lazima pia izingatiwe.