Our Staff

Climate Air Limited has 35 Employees. We have 15 on the Management side, 5 on Support side and 15 Engineers and Technicians who are highly trained and Certified to perform all necessary system checks.

Wafanyakazi Wetu

Climate Air Limited ina wafanyakazi 35. Tuna 15 upande wa Ungozi na Usimamizi, 5 kwa upande wa msaada pamoja na Wahandisi 15. Wahandisi hawa wamepata mafunzo ya hali ya juu na kuthibitishwa kufanya shughuli zote za kihandisi za Climate Air.