Split Unit Air Conditioning

Split Air Condition are split into two main units. The Evaporator(Indoor Unit) and the Condensing Unit(Outdoor Unit). Split Units they are great options for small areas and relatively cheap to purchase.

When selecting an Air conditioner for your home , we have the best solution for your home conditioning needs, different brands of Air conditions and so many more choices of your wish within your budget. If your house has a lot of windows especially glass windows we advice the customer to make sure that once the unit is on and running the curtains and windows should be closed and sealed to keep the house cold at all  times. This will save you electric bill!

We offer free site surveys for all kinds of Air conditioning works. All our installations are carried out by our own experienced Technicians.

Advantages of Split Unit Air Conditions are easy to install and very affordable.

Kiyoyozi Mgawanyo

Wakati  ukiwa unachagua Kiyoyozi kwaajili ya Nyumbani kwako, tuna suluhisho baridi kwaajili ya nyumba yako. Tuna aina tofauti za viyoyozi na machaguo mengi zaidi ya matamanio yako ambayo yapo katika uwezo wa bajeti yako.

Kama nyumba yako ina madirisha mengi hasa madirisha ya vioo, tunakushauri kuhakikisha kwamba wakati kiyoyozi kinafanya kazi mapazia na madirisha yanatakiwa kuwa yamefungwa kuacha nyumba ikiwa na ubaridi mara zote. Hii itakuokoa kwenye bili zako za umeme.

Tunatoa utafiti wa saiti bure kwa viyoyozi vinavyotaka kufungwa popote pale. Ufungaji wetu wa viyoyozi unafanywa na wahandisi wetu waliobobea kwenye viyoyozi.

Faida ya viyoyozi vya Split Unit ni rahisi kufunga na ni bei nafuu.

Split Unit

Split Unit Installation